pajama za muundo na aina tofauti
pajama hizi size zinaanza na watoto wenye umri kwanzia miaka 3 hadi miaka 17
pajama hizi zina ubora wa hali ya juu kuanzia ushonaji hadi material
ni soft haikeri wala kutatuka
haitoi vipele wala discofort kwa mvaaji
kwa usingizi mnono usio na karaha kwa mwanao
There are no reviews yet.