kwa kawaida wanawake uingia kwenye mzunguko wa hedhi kila mwezi, ambayo upelekea kutoka kwa damu kwa siku 4-7 kwa viwango tofauti tofauti hivyo katika kipindi hiki wanawake uvaa ped ama taulo maalumu kwaajilia ya kufonza damu ambapo kitaalam ubadilishwa kila baada ya masaa saba ama sita kulingana na wingi wa flow.
kwa kipindi hivhi kuna dhana nyingi ya aina chupi ambayo mwanamke anatakiwa kuvaa huku wengine wakevaa yoyote bila kuona madhara
NATAMBA UNDERWEAR TUNAKULETEA SOMO HILI UFAHAMU NA UWEZE KUCHUKUA HATUA STAHIKI
- chupi ambazo wataalamu wa afya ya uzazi wanashauri watu kuwa wanavaa ni ya pure cotton yani yenye pamba kwa asilimia zaidi ya 95 kwenye kitambaa chote nisababu pamba inayouwezo wa kufonza maji maji yaina yoyote na kukuacha mkavu muda wote, pili pamba inapitisha hewa hivyo kutoruhusu uvundo wa aina yoyote katika maumbile yako, tatu pamba haina reaction na kemicali chafu itokayo kwenye ngozi kwa kipindi chote hicho
- mbali na aina ya materia ya utengezwaji wa chupi pia wataalam wanaenda mbali zaidi na kushauri rangi ya chupi ya pamba inayo faa kwaajili ya kuvaa kipindi chote cha hedhi, RANGI NYEUPE PLAIN, kwakuzingatia unyeti wa sehemu hizi hasa katika usafi na afya, wataalam wanashauri rangi nyeupi sababu ya urahisi wa kusafisha kwa kutumia kemikali ya jik ama zingine kwaajili ya kuua bacteria na vijidudu vyote, urahisi uhuu unatokana na uwezo wa kuloeka chupi bila kuaribu rangi ya chupi kwakuwa rangi nyeupe huzidi kungara zaidi
Leave a comment
Your email address will not be published. Required fields are marked *