wajua kuhusu chupi zisionesha mistari hata ukivaa nguo nyepesi

chupi hizi zinaitwa seamless

ni maalumu kwa ajili ya kuvalia nguo nyepesi zinazobana kwa lugha nyingine wanaita big G yani zinazovutika,  ufanisi wa chupi hizi ni kutokuonesha mistari ya pindo kama chupi zingine za kawaida hivyo kumuacha mvaaji akiwa amejiamini  na muonekano wa kupendeza