chupi za kike utengenezwa na material tofauti tofauti kukizi matakwa ya design kuna material ya nylon material ya polister na lace
sleave ya chupi ni upindo wa kitambaa kinachowekwa kuendana na maeneo ya uke
kazi ya sleave ni kuongeza uzito ya cotton density ili kuweza kufonza unyevu na maji maji kupaacha pakavu eneo hilo
hivyo kitaalamu hushauriwa kuwa na sleave ya cotton yenye desnsity sio chini ya 120g ili kuwezesha kufonyza unyevu na maji maji ya aina yoyote
pia ubora wa kitambaa hichi ni muhimu ili kuzuia ama kuepuka kitambaa kinacho vuja ama kunyonyoka manyoya ni hatari kwa afya yako
pia litambe kinatakiwa kiwe cheupe ili kuweza kuditect aina ya uchafu ama mazingira tofauti inapotokea kwenye uke
endelea kutufwatilia kuweza kupata taarifa zaidi
Leave a comment
Your email address will not be published. Required fields are marked *